Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nipo safi kabisa, jana salamu zako nilizifikisha wanakusalimia piaPoa,upo salama?
Nipo safi kabisa, jana salamu zako nilizifikisha wanakusalimia piaPoa,upo salama?
wakatalunya si mnataka kuvunja muungano na serikali ya matajiri kutoka madrid ndio maana gemu imeghairishwa kwa kuhofiwa vurugu za kipumbavu.Ratiba imekaa kushoto kweli sijui kuna nini
AwesomeNipo safi kabisa, jana salamu zako nilizifikisha wanakusalimia pia
Kweli timu ikiyumba mzuka wa kuangalia game zake huwa hakuna kabisa....siku hizi manchester united inatia stress kuiangalia hivyo basi njia pekee ilikuwa ni kucheza peke yake.
kama spurs watarudisha ubora wao mechi ya leo dhidi ya liverpool huenda nikapoteza concentration ya kuifuatilia mechi ya man utd.
Barcelona ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato. Hispania ikikubali kuwatenga tu inabidi wasake chanzo kingine cha kuziba pengo. Just imagine deni la kodi ya messi iwaponyokewakatalunya si mnataka kuvunja muungano na serikali ya matajiri kutoka madrid ndio maana gemu imeghairishwa kwa kuhofiwa vurugu za kipumbavu.
Team city wala huna mapenzi ya dhati kwa spurs basi tu unataka kufurahia anguko la liver [emoji23][emoji23]Kweli timu ikiyumba mzuka wa kuangalia game zake huwa hakuna kabisa....
Tot leo naimani watajikaza sana game itakua nzuri pia naimani watamdondosha mtu points mbili au tatu kabisa
Wakifanikiwa kuuvunja muungano sasa La liga siitakosa radha kabisawakatalunya si mnataka kuvunja muungano na serikali ya matajiri kutoka madrid ndio maana gemu imeghairishwa kwa kuhofiwa vurugu za kipumbavu.
Heheh! Jamaa wa kijani na njano wamewaletea burudani huko mkawasapoti sasa...Awesome
Koromije imejaa kijani tupu
Wanazi na matarumbeta yao
Kwangu bora nishuhudie kipigo cha man u kuliko yanga inachoma kama sindano ya tako
ndio maana hawakubali kuliachia jimbo la catalunyaBarcelona ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato. Hispania ikikubali kuwatenga tu inabidi wasake chanzo kingine cha kuziba pengo. Just imagine deni la kodi ya messi iwaponyoke
Hahah! Ndio hivyo tu binti mpole, huyo Liver ndio mpinzani mkubwa hivyo kila anaekutana nae inabidi nimpende kwa muda, huwezi amini ile game na Man U niliwashabikia nyie vibonde acha tuTeam city wala huna mapenzi ya dhan kwa spurs basi tu unataka kufurahia anguko la liver [emoji23][emoji23]
ni jambo linalohitaj tafakari ya kina sana na huenda barcelona ikawalazimu kutafuta sehemu ya kujificha.Wakifanikiwa kuuvunja muungano sasa La liga siitakosa radha kabisa
Hahah! Ndio hivyo tu binti mpole, huyo Liver ndio mpinzani mkubwa hivyo kila anaekutana nae inabidi nimpende kwa muda, huwezi amini ile game na Man U niliwashabikia nyie vibonde acha tu
Burigi na koromije ni dakika tu ujue. Bado tunalinda pori la taifaHeheh! Jamaa wa kijani na njano wamewaletea burudani huko mkawasapoti sasa...
Alafu kumbe ulishatoka Burigi?
Ngumu sana hio labda waachie kisha barca waiadopt heheheeh ibaki la ligandio maana hawakubali kuliachia jimbo la catalunya
kama monaco ya ufaransaNgumu sana hio labda waachie kisha barca waiadopt heheheeh ibaki la liga
Bartomeu mwenyewe anaonyesha kutofurahia. Ila sisi tunatizama zaidi kwa jicho la Kisport ila wapigania uhuru wao nahisi wapo kisiasa zaidi. Ngoja tuone watamalizana vipini jambo linalohitaj tafakari ya kina sana na huenda barcelona ikawalazimu kutafuta sehemu ya kujificha.
![]()
How would a Catalan secession affect FC Barcelona?
Catalonia's bid to break away from Spain throws football club's future in Spanish league into jeopardy.www.aljazeera.com
solution ni kuwaongezea ulaji.Bartomeu mwenyewe anaonyesha kutofurahia. Ila sisi tunatizama zaidi kwa jicho la Kisport ila wapigania uhuru wao nahisi wapo kisiasa zaidi. Ngoja tuone watamalizana vipi
Hahah! Kaangalie msimamo wa ligi utaamini hiloHahahaha jamani eti vibonde