Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1572129533846.jpeg
 
 
Tatizo nini hapo bro
  1. liverpool na totenham wiki hii wamecheza jumanne na jumatano kwenye UEFA hivyo basi ulikuwepo uwezekano wa mechi yao kuchezwa saa 8:30 kwa saa za Afrika Mashariki
  2. kati ya arsenal na manchester united mmoja wao akacheza saa 11 jioni.
  3. halafu mwengine akamalizia saa 1:30 usiku.
kuliko kukusanya mechi zote tatu kwa wakati mmoja, hata kibiashara ya kuonyesha live match huko duniani itakuwa ni shidaa.
kivyovyote kampuni kubwa zitanunua haki miliki ya kuionyesha mechi ya liverpool na tottenham.
 
Back
Top Bottom