Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20191026_210156.jpg
 
Hakikisha unapata vyakula muhimu
Angalia aina muhimu za vyakula kwa siku – matunda na mboga za majani. Hizi ni muhimu kuwepo sababu zina virutubisho halisi vinavyohitajika mwilini. Ni vizuri kula matunda na mboga za majani zisizopungua aina 5 kwa siku. Mfano wa matunda ni ndizi, papai, nanasi, apple, chungwa n.k.
 
Kuwa mbunifu
Kula ni haki yako, lakini kwanini ule chakula aina moja wakati kuna vyakula vingi tu vitamu? Jifunze kuandaa vyakula tofauti, kula kwa rafiki, onja vyakula aina mbalimbali. Ili kuweza kutimiza hili, jaribu kula vyakula tofauti kutokana na ratiba yako.
 
Ni muhimu kutopendelea vyakula kwenye kundi moja sababu unakosa virutubisho kutoka kwenye kundi tofauti.
Kama kuna kitu unapendelea zaidi, weka kiwe kinapatikana mara nyingi kwenye ratiba yako. Lakini jaribu na kwengine uone ubora wake. Mfano mzuri ni kuwa mie hupendelea zaidi maharage, ni jambo zuri kula chakula nikiwa na maharage pembeni.
 
Pendelea vitu halisi
Ni rahisi sana kula vyakula visivyo na virutubisho nyumbani sababu ndio vyakula vilivyojaa kila kona ya dunia kwa sasa. Ili kuhakikisha unakuwa na afya bora, pendelea zaidi vitu halisi kuliko vile vya kuchakachua – kunywa maji badala ya juisi. Kula tunda badala ya juisi. Maji ni muhimu sana, lakini wengi tunapuuzia hii kanuni ya afya. Mfano, mtu mzima anatakiwa kunywa lita moja na nusu ya maji kwa siku. Je unazingatia hilo ?
 
Back
Top Bottom