Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

siku hizi manchester united inatia stress kuiangalia hivyo basi njia pekee ilikuwa ni kucheza peke yake.
kama spurs watarudisha ubora wao mechi ya leo dhidi ya liverpool huenda nikapoteza concentration ya kuifuatilia mechi ya man utd.
Kweli timu ikiyumba mzuka wa kuangalia game zake huwa hakuna kabisa....

Tot leo naimani watajikaza sana game itakua nzuri pia naimani watamdondosha mtu points mbili au tatu kabisa
 
wakatalunya si mnataka kuvunja muungano na serikali ya matajiri kutoka madrid ndio maana gemu imeghairishwa kwa kuhofiwa vurugu za kipumbavu.
Barcelona ni moja ya vyanzo vikubwa vya mapato. Hispania ikikubali kuwatenga tu inabidi wasake chanzo kingine cha kuziba pengo. Just imagine deni la kodi ya messi iwaponyoke
 
Bartomeu mwenyewe anaonyesha kutofurahia. Ila sisi tunatizama zaidi kwa jicho la Kisport ila wapigania uhuru wao nahisi wapo kisiasa zaidi. Ngoja tuone watamalizana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…