Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duh!
Woyoooo mambo ni fireee. Hongera sana kingNi huku tu kwenye maisha ya Dunia halisi kuna mambo flani yameenda kama ilivyotakiwa yani daah!
does this means that no diagnosis can distinguish the fingerprints of an original owner of identity card that exists in the NIDA database with this thief?Please whenever you photocopy your National identity card and the machine operator tells you that the copy was poorly copied, make sure you collect that bad copy from him. These operators sell out these copies to thieves who use them to acquire sim cards and commit crimes that can incriminate you. Please share this information to save an innocent person somewhere. Sorry guys but its serious issue
Asante sana binti yetuWoyoooo mambo ni fireee. Hongera sana king
Kweli hawa ni vyura [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mazoezi ya kufa mtu siku mbili kabla ya mechi[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1246788
Mara paap! Joka Makengeza zee la vijisenti nguli la sheria kutoka Harvard hili hapa laivu dah! Poti bana [emoji16][emoji16][emoji16]Ila Bro na wewe mtata. Itokee siku isiyo na jina watu wote wa uzi huu tukutane in real life; vitakuwa vicheko hatari. Numbisa mara anaibuka DC wa Kisarawe, SYB mara Andrew Chenge huyu hapa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1493]β[emoji3603][emoji1493]β[emoji3603]
Hifadhi vizuri kiporo hicho utashughulika nacho baadaye. Trust me. Njaa itakujia tena !Nimebakiza samakiView attachment 1247013
Bila shaka mkwanja mreeeeefuuu au likely demu mkali ameingia kwenye anga zako [emoji16][emoji16][emoji16]Ni huku tu kwenye maisha ya Dunia halisi kuna mambo flani yameenda kama ilivyotakiwa yani daah!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]