Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha siamini sio kwa furaha ile mpaka carba akapata bahat ya kumuona king laivu

Mzima kabisa,kama bando la halonight
Hivi ni kweli King kaonekana japo kwa picha tu au mnatania? Tangu juzi naona Moud anaita watu waende na picha zao PMni kwake ili awape ya King. Mara tena kaonekana laivu [emoji16][emoji16]
 
Subiri uoe ndo utausikilizia muziki wa kuibiwa vizuri. Unaumia kuibiwa hawa wanaokuzindua hapa? You haven't seen nothin' yet [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂 😂😂

Tuombe Mungu bro ili atupe wake weka wasioibika kirahisi
 
[emoji23] [emoji23][emoji23]

Tuombe Mungu bro ili atupe wake weka wasioibika kirahisi
Miye nilichapiwa mchumba kabisa na mahari nilishapeleka bro yaani kila kitu kiko in motion nivute mzigo. Kumbe mwenzangu akawa bado anaaga aga maeksi wake huko. Tangu hapo nilipoteza matumaini kabisa jumla.
 
Ngoja nizame PMni kwa Carba kama kuko open. The King himiselfu dah !!!

Na hii siyo mara yake ya kwanza kuweka picha yake laivu. Mi niliumia kuikosa ya Lucifer Original dah. Mpaka leo huwa najilaumu
Kuna mitaa nilipita bro nikakuta watu wakionyesha shauku yao ya kutaka kukuona japo kwa picha nikasema bro nae ni most wanted....

Ukikutana na watu kama hao sio mbaya kutekeleza hitaji lao ILA kama unawaamini ILA kama haitakua na madhara kwako
 
Kuna mitaa nilipita bro nikakuta watu wakionyesha shauku yao ya kutaka kukuona hapo kwa picha nikasema bro nae ni most wanted....

Ukikutana na watu kama hao sio mbaya kutekeleza hitaji lao ILA kama unawaamini ILA kama haitakua na madhara kwako

Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?

Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
 
Miye nilichapiwa mchumba kabisa na mahari nilishapeleka bro yaani kila kitu kiko in motion nivute mzigo. Kumbe mwenzangu akawa bado anaaga aga maeksi wake huko. Tangu hapo nilipoteza matumaini kabisa jumla.
Pole sana bro!

Kumbe ni kawaida haya mambo, mimi jana tu nimeona mkasa kama huu wako yani mtoto kavishwa Pete juzi tu na jamaa alafu harusi ni mwezi ujao ila alichofanya jana daah!
 
Pole sana bro!

Kumbe ni kawaida haya mambo, mimi jana tu nimeona mkasa kama huu wako yani mtoto kavishwa Pete juzi tu na jamaa alafu harusi ni mwezi ujao ila alichofanya jana daah!
Kawaida sana haya mambo bro. Tena ukimvisha pete ndiyo majamaa yanaanza kupiga shoo za maagano. Kama ndiyo umewekeza kabisa kabisa moyo wote na resources unaweza kuathirika sana usipokuwa na washauri wazuri. Ndiyo maana mi nikiona njemba kaua mtu kwa hizi ishu wala sishangai sana. Wengine wanahangaika kutafuta waume, wengine bado wanacheza. Ni vurugu tupu yaani...
 
Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?

Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
Hiyo mitaa hadi niipate inatakiwa nifukue sana makaburi bro ...

Sio activist huko siasani zaidi ni mdau flani hivi wa misambwanda hakika huna cha kupoteza bro

😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…