myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amin... Thanks broInnah lillah wainnah lillah Rajiun ......
Pole sana bro
Asante sana numby,, safari yetu ni moja kikubwa ni kujiandaa tu.Pole sana ninge.
Hii miezi huwa naiogopa sana. Kuna mwaka Nilipoteza mfululizo from sept upto dec
Asante sana bro.. Njia yetu sote hiyo, tayali mzee ametangulia ni kumuombea kwa Mungu tu, na pia kutukumbusha kuwa tusijisahau sana hapa duniani..Oooh Jizazi. Pole sana bro. Apumzike kwa amani babetu mdogo huyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiuun
(Hakika Sisi ni waja wa Mola Na kwake ni marejeo yetu)
Fanya mimi niwe wa kwanza basi[emoji41][emoji41][emoji41]Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?
Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
Pole sana bro, I hope umepoa lakini sasaKawaida sana haya mambo bro. Tena ukimvisha pete ndiyo majamaa yanaanza kupiga shoo za maagano. Kama ndiyo umewekeza kabisa kabisa moyo wote na resources unaweza kuathirika sana usipokuwa na washauri wazuri. Ndiyo maana mi nikiona njemba kaua mtu kwa hizi ishu wala sishangai sana. Wengine wanahangaika kutafuta waume, wengine bado wanacheza. Ni vurugu tupu yaani...