myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukionyesha nia ya dhati tu bro hana hiyanaFanya mimi niwe wa kwanza basi[emoji41][emoji41][emoji41]
Sembe maini hiko π₯π₯Acha kushindanisha epe kuku na vitu vya ajabu π
Ila wakishishua bhana list yako ya menu sio poa
Nipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Ongea taratibu wakishua wa ukweli Numby na TH wakitusikia wataona tunawasemaSembe maini hiko π₯π₯
Wakishua wewe mzee wa kukuz
Saa 7 nayo haifiki π
ππππOngea taratibu wakishua wa ukweli Numby na TH wakitusikia wataona tunawasema
Acha tu yan ππBreak time π
Emu tukuone tuthibitisheNakula sana story lakini sioti kitambi
Ila huko Uzaramuni mna mambo. Sasa hizo karanga zimechemshwa na makorokocho gani hayo?
Nakula sana story lakini sioti kitambi