moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hmm nikiendekeza njaa zangu nitakuwa mlafi [emoji23][emoji23]
Ila mmekaribia kufunga sasa November ndio hiyooBadoo
Kwakweli nimeamini hilo bro
Kwakweli nimeamini hilo bro
Hahah! Eti utake usitakeUkitaka au hutaki habari ipo hivyo bro.
Kuchapiwa hakuepukiki
Hmm unajua me kwa siku nakula zaidi ya Mara 3? Nikiendekeza minyoo itabidi nikaolewe mkulima πAcha kujisumbua, kula chakula, kula kila unapohisi njaa .
Ila fanya mazoezi ya kishindo ili kuondoa sumu ya hivyo vyakula
Ndio, tar 21 tunaanza annual exam'sIla mmekaribia kufunga sasa November ndio hiyoo
Kwanini.. poleHii jumanne ya Leo naiona ndefu π£
Aisee nina nia ya dhati kabisaaUkionyesha nia ya dhati tu bro hana hiyana
Naona siku inachelewa kuisha....AsanteKwanini.. pole
Usijali jirani...vumiliaNaona siku inachelewa kuisha....Asante