Lautaro Martinez alifunga bao la kwanza la Inter kabla ya Lukaku kukimbia na mpira kutoka winga ya kulia na kuingia nao kati kwa kasi na kupiga shuti la umbali wa mita 25 na kujaa wavuni.
Mchezaji Milan Skriniar alijifunga mwenyewe na kuipa Brescia bao la kufutia machozi, lakini vijana wa Antonio Conte Inter imefanikiwa kuondoka na pointi tatu.
Lukaku aliyejiunga Inter akitokea Manchester United kwa gharama ya pauni 74milioni msimu huu, tayari amefunga mabao saba katika mechi 10 za ligi alizocheza hadi sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.