Mshambuliaji Lionel Messi amefunga bao la hamsini (50) kwa mpira wa adhabu katika maisha yake ya soka wakati Barcelona ikishinda 5-1 dhidi ya Real Valladolid na kukalia usukani wa La Liga.
Katika misimu mitano iliyopita Messi amefunga mabao 20 kwa mpira ya adhabu ikiwa ni mara tano zaidi na yaliyofungwa na Juventus (15), Roma (13), Paris Saint Germain (13) na Lyon (12).
Messi aliendeleza miujiza yake katika kipindi cha pili akiunganisha kwa kustadi mkubwa akipokea pasi ya Ivan Rakitic ball na kupiga shuti lililojaa wavuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.