Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
shida ni Man U au ligi ya England? mbona wachezaji wengi wakiwa nje ya ligi ya England wanafanya vizuriMshambuliaji Romelu Lukaku amefunga bao lake la saba katika Serie A msimu huu wakati Inter Milan ikichapa Brescia 2-1 na kukalia usukani wa ligi.