Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahaha, kiganja hicho hicho sina maana nyingine....ila nilikuwa nataka nikione tu kikiwa kimepinduliwa kule kwenye fingerprints[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiganja kiganja au una maana nyingine ya deep zaidi TH? Mpaka sasa kweli bado hujaona kiganja cha King? Hata kile mashuhuri kinachozungukaga humu?
Asante kwa salamu yako ya heshima TH. Inatia moyo kuona kuwa pamoja na usasa wote na utandawazi huu uliotamalaki bado kuna maandaeitini wenye adabu na heshima za kuamkia kaka zao kwa kizingatia mila zetu. Asante sana TH...
MARAHABAAAA [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Playlist ya leo [emoji91]Mirror ~ Justine Timberlake
Mpaka leo bado hatujapata jibuZikishakua nyingi inakuaje sasa
😀😀Playlist ya leo [emoji91]
Klopp alivyo anaogopa kufungwa sasa hivi ataingiza full mkokoAhsante sana Arsenal
Hahah! Kumbe kiganja kwa huku mbele?Hahaha, kiganja hicho hicho sina maana nyingine....ila nilikuwa nataka nikione tu kikiwa kimepinduliwa kule kwenye fingerprints[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa The don, usasa huu unatuharibu ila wachache bado tupo....Asante kwa kupokea na kushukuru[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vibaya hivyoo
Hahah! Bro nipo hapa
Ni hatari mzee, jamaa alichania sifa pia kuna rmx nyingine alifanya Lil Wayne
Duh! Noma sana leo mzee wangu atakua kanuna sana huko home