D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
naomba unikomeeeeeee mwana wa usukumani.hatimaye leo mchana kamera zilizotegwa na shushushu mahiri @Numbisa zimemfuma bwana @Daemusin akifaidi sembe huko visiwani
kuna watu sijui wamerogwa?Sembe? Daemusin yuko wapi?
hellowDaemusin hellow
Tulikumisimohellow
nado (me too)Tulikumisimo
Anyeong sunbaenimkuna watu sijui wamerogwa?
utalikuta jitu lililoshiba miziwa mikubwa ya mama yake linaagiza sembe likiwa mgahawani utadhani vyakula vyengine hamuna.
wewe Depal mtoto wa dharmendraaa si nilikuletea kitabu cha mapishi ya kizanzibar upate kumpikia babu shimbaaa le buyenzee la usukumaniii le kiunooooo.
ina maana bado waendelea kumlisha unga mbichi huyo babu yetu?
ndio maana mahari yako ukapewa sungura 10 kwa sababu hujui kupika.
mwanamke mapishi weweeee si muda wote kukesha klabuni kama meza za kuwekea vinywaji.
Asalam alakum,hellow
Oh Jizazi. Niliwaonya lakini kuhusu haya mambo yao ya sembe wakati haupo na hawakunisikia.kuna watu sijui wamerogwa?
utalikuta jitu lililoshiba miziwa mikubwa ya mama yake linaagiza sembe likiwa mgahawani utadhani vyakula vyengine hamuna.
wewe Depal mtoto wa dharmendraaa si nilikuletea kitabu cha mapishi ya kizanzibar upate kumpikia babu shimbaaa le buyenzee la usukumaniii le kiunooooo.
ina maana bado waendelea kumlisha unga mbichi huyo babu yetu?
ndio maana mahari yako ukapewa sungura 10 kwa sababu hujui kupika.
mwanamke mapishi weweeee si muda wote kukesha klabuni kama meza za kuwekea vinywaji.
Sembe unakulaga? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]naomba unikomeeeeeee mwana wa usukumani.
nimepumzika tokea jumapili usiku kumbe mulikuwa munanitafuta kwa tochi.
nimerudi.
anyeong ahjummaa.Anyeong sunbaenim
HIV+ and proud? Why proud?
Oh Jizazi !anyeong ahjummaa.
nimesikia babu shimba anakata kukutambua kama wewe ni mhenga wa kike (ahjumma).
kwani mulizaliwa tumbo moja na huyo babu mpenda viuno?
nikiwa sina pesa nakulaga sembe kwa sababu huwezi jua pengine siku moja naweza kuishia gerezani.Sembe unakulaga? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
πππππnaomba unikomeeeeeee mwana wa usukumani.
nimepumzika tokea jumapili usiku kumbe mulikuwa munanitafuta kwa tochi.
nimerudi.
pesa ya kula ninayo leo.Asalam alakum,
Karibu ugali mpendwa.
Aiseee ππππWapendwa mkuje huku mmejificha wapianyeong ahjummaa.
nimesikia babu shimba anakata kukutambua kama wewe ni mhenga wa kike (ahjumma).
kwani mulizaliwa tumbo moja na huyo babu mpenda viuno?
HIV+ and proud? Why proud?
Can somebody also say "I have a slow killing cancer and proud?"
Hapo sawa. Kwema huko Misungwi, Nyanguge, Igoma na Kisesa huko?Ni kujipa matumaini tu
halafu juzi sembe lilipanda bei mpaka kufikia 4000 kwa sahani.Oh Jizazi. Niliwaonya lakini kuhusu haya mambo yao ya sembe wakati haupo na hawakunisikia.
Kuna na mwingine aliweka na picha yako kabisa eti ukiwa unakula sembe. Ngoja nifuatilie nione jibu ulilompa.
Karibu tena baada ya kupotea kwa siku chache. Bila shaka ulikuwa unafakamia urojo salama huko ulikokuwa [emoji16]