Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ende sasa ni saa nane na dakika tisa huku burigi. Tushahama huko pengine hahaahHapo sawa. Kwema huko Misungwi, Nyanguge, Igoma na Kisesa huko?
Kwema kabisa
Ende sasa ni saa nane na dakika tisa huku burigi. Tushahama huko pengine hahaahHapo sawa. Kwema huko Misungwi, Nyanguge, Igoma na Kisesa huko?
😁😁😁😁pesa ya kula ninayo leo.
sembe kula mwenyeooooooo uongeze akili
😂😂😂😂😂 naona unataka kuleta michezo ya kuibiana penseli afu unajidai kunisaidia kuitafuta.kuna watu sijui wamerogwa?
utalikuta jitu lililoshiba miziwa mikubwa ya mama yake linaagiza sembe likiwa mgahawani utadhani vyakula vyengine hamuna.
wewe Depal mtoto wa dharmendraaa si nilikuletea kitabu cha mapishi ya kizanzibar upate kumpikia babu shimbaaa le buyenzee la usukumaniii le kiunooooo.
ina maana bado waendelea kumlisha unga mbichi huyo babu yetu?
ndio maana mahari yako ukapewa sungura 10 kwa sababu hujui kupika.
mwanamke mapishi weweeee si muda wote kukesha klabuni kama meza za kuwekea vinywaji.
wanajifanya watoto wadogo wanaongea weeeee ila akija kubwa lao wanajificha kwenye sketi za mabibi zao huku wakidanganywa na maneno matamu.Aiseee 😁😁😁😁Wapendwa mkuje huku mmejificha wapi
Na wewe mdogo wangu kumbe umo kwa mipasho mashallah😁😁😁😂😂😂😂😂 naona unataka kuleta michezo ya kuibiana penseli afu unajidai kunisaidia kuitafuta.
Hiyo mahari si nyie wajomba ndio mlipanga na mliipitisha Ndio maana mkaipokea?
Kilabuni nakesha na huyo mzee anataka kwenda kunywa wanzukiiiii 😂😂😂 so huwa namkampani. Na kuhusu mapishi muulize vizuri atakupa habari, we huoni anavyonawiri?
unasema ana nawiri mbona namuona babu yetu anazidi ujinga kama pilipili kichaa?😂😂😂😂😂 naona unataka kuleta michezo ya kuibiana penseli afu unajidai kunisaidia kuitafuta.
Hiyo mahari si nyie wajomba ndio mlipanga na mliipitisha Ndio maana mkaipokea?
Kilabuni nakesha na huyo mzee anataka kwenda kunywa wanzukiiiii 😂😂😂 so huwa namkampani. Na kuhusu mapishi muulize vizuri atakupa habari, we huoni anavyonawiri?
Hebu mwambie huyo nadhani kuna kitu anataka kuninyimaanyeong ahjummaa.
nimesikia babu shimba anakata kukutambua kama wewe ni mhenga wa kike (ahjumma).
kwani mulizaliwa tumbo moja na huyo babu mpenda viuno?
Hahahahahhalafu juzi sembe lilipanda bei mpaka kufikia 4000 kwa sahani.
cha ajabu wanunuzi kutoka huko kwenu bara pia walisusia.
aiseee mama fatumaaaa iyo bei ya sembee ni kubwa mnooo, umeshatuzowesha bei nyepesi ya shilingi 300 hadi 1000.
basi tuuzie japo huo ukoko wa chini tupate kusukumia kwa maji ya mto ruvuma
ana mipasho kama kungwi wa malindi au jews corner ilipo maskani ya CUF ya zamaniNa wewe mdogo wangu kumbe umo kwa mipasho mashallah😁😁😁
Si unajua ukizeeka unakuwa kama mtoto?unasema ana nawiri mbona namuona babu yetu anazidi ujinga kama pilipili kichaa?
Acha maneno weka basi recipe nyepesi ya keki,tuache sembe tuhamie kwenye kekiana mipasho kama kungwi wa malindi au jews corner ilipo maskani ya CUF ya zamani
Pengine Air Conditioned (AC)....Chumba chenye Ice? Alikusudia kusema nini?
Babu ni Ningendako 😁😁😁unasema ana nawiri mbona namuona babu yetu anazidi ujinga kama pilipili kichaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbePengine Air Conditioned (AC)....
Mh !!!unasema ana nawiri mbona namuona babu yetu anazidi ujinga kama pilipili kichaa?