Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hakuna ndumba mpendwa kilichopangwa na Mungu.kumbe?
depal kumbe ni mkorofi.
ameshamteka kijana wa watu.
ametumia ndumba?
Hakuna ndumba mpendwa kilichopangwa na Mungu.kumbe?
depal kumbe ni mkorofi.
ameshamteka kijana wa watu.
ametumia ndumba?
wanialike harusi yao haijalishi kama watapika sembe nitakula hivyo hivyo.Hakuna ndumba mpendwa kilichopangwa na Mungu.
Yaani we Mwanaume ni Mzaramo nimecheka sana hii comment yako 😁😁😁😁😁😁😁😁😁.wanialike harusi yao haijalishi kama watapika sembe nitakula hivyo hivyo.
Depal kuja hapa muhuni wewe uliyeshindwa kunipa taarifa ya kuchumbiwa na mteja wa humu ndani.
mume anapenda likes
mke anapenda likes.
si mtakuja kupigana ngumi kwa kushindwa kuandaa chakula mapema?
Hivi hii huwa inakuwaje eti
kiukweli depal hajanitendea haki kwa kushindwa kunipa taarifaYaani we Mwanaume ni Mzaramo nimecheka sana hii comment yako 😁😁😁😁😁😁😁😁😁.
ugali nakula mpendwaaa.Jf ni kichaka inawezekana Daemusin ni Mzaramo wa kisiju Ugali anakula kama kawaida nimeanza kuwa na wasiwasi sio Zanzibar huyu 😂😂😂😂😂
Wote tunajua humu kwamba Depal wake Ningendako huyo wako wewe watu hatumjui.kiukweli depal hajanitendea haki kwa kushindwa kunipa taarifa
kila siku namtania amechumbiwa kumbe kuna mtu zile comment zinamuumiza kwa ndani.
cha ajabu bibi yule ameendelea kukaa kimya utadhani kama amefumaniwa na mume wa mtu.
mbona alikuwa hakanushi comment zangu.Wote tunajua humu kwamba Depal wake Ningendako huyo wako wewe watu hatumjui.
Hapo kati ya hao wawili mmoja mume,mwengine mchepuko umeelewa mpendwambona alikuwa hakanushi comment zangu.
mbona mtu mume hakuonekana kuchukizwa na comment zangu.
au hana wivu na mali yake?
kazi kwake akiendelea kukaa kimya wasukuma wanavyopenda sifa wanaweza kumhonga ndege ya mjomba wao.
OK.Hapo kati ya hao wawili mmoja mume,mwengine mchepuko umeelewa mpendwa
Mpendwa wewe nae mbona huna wivu kwa yule T namuona kwenye uzi anataniwa mno we kazi yako kutoa like 😁😁😁OK.
kazi iliobaki ni kumtafuta mume na mchepuko.
lakini mume hana wivu?
au amewekea moyo wa nyumbu muda wote anatafunwa yeye lakini hanuni
T ndio nani tena huyooooMpendwa wewe nae mbona huna wivu kwa yule T namuona kwenye uzi anataniwa mno we kazi yako kutoa like 😁😁😁
Hiyo ni mtu unatesti zali tu uone upepo utakavyokwenda lakini huna nia ya dhati. Mkikutana tena unakumbushia na kimchezo mchezo tu hivyo waweza jikuta ushapewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hivi hii huwa inakuwaje eti
Nimeshastaafu ndugu yangu. Miaka 81 nitamwongoza nani? Halafu na kula sembe nako si unajua kunadumaza akili, mwili na fikra?babu SHIMBA YA BUYENZE kwa nini hugombanii uchaguzi wa serikali za mitaa haliyakuwa una uwezo mkubwa sana wa kifikra?
kama umri umeshavuka miaka 21.
Sasa unatuuliza sisi? Ana siku ngapi hajaonekana home?Leo Smart911 ashapita humu? ?????