myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wakulima wote
😁😁😁😁Nitamwaga mchele kwenye kuku wengi ili mada zako kuhusu Ugali zife kabisa kwanza nimemuuliza yule mtarajiwa wako kanambia leo kakupikia ugali😁😁😁Mbona unanitetemesha?
Asante tumepoa.Poleni wakulima wote
mzee wa pole ameingia.Poleni wafanyakazi wote
NGOJA NIBONYEZE KITUFE CHA LOG OUT.😁😁😁😁Nitamwaga mchele kwenye kuku wengi ili mada zako kuhusu Ugali zife kabisa kwanza nimemuuliza yule mtarajiwa wako kanambia leo kakupikia ugali😁😁😁
Ndio maana amekimbia humu ndaniBAK kahamia Ccm😲
Habari zako ninazo ujue 😁😁😁😁NGOJA NIBONYEZE KITUFE CHA LOG OUT.
wewe TIIIIIIIIII UNANITAFUTIA BALAA NA SIKUJUI UNAPOISHI
Siku njingi mno akuje hata kama yupo CcmNdio maana amekimbia humu ndani
🤣 🤣Acha maneno weka basi recipe nyepesi ya keki,tuache sembe tuhamie kwenye keki
hizo habari naomba uzihifadhi mpaka usiku tafadhali.Habari zako ninazo ujue 😁😁😁😁
swadakta brother.Kila mtu ana umuhimu wake...