Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
maalim seif ametimiza miaka 74 wiki iliopita lakini bado ubongo wake uko fiti.Nimeshastaafu ndugu yangu. Miaka 81 nitamwongoza nani? Halafu na kula sembe nako si unajua kunadumaza akili, mwili na fikra?
Hao wote ulowataja si ajabu wamekulia urojo hivyo ubongo wao bado uko sharp. Mi sembe imeniponza...heri ningejua...[emoji16]maalim seif ametimiza miaka 74 wiki iliopita lakini bado ubongo wake uko fiti.
mbona waziri mkuu wa singapore au malaysia alifanya mambo makubwa nchini mwake akiwa mzee
umri si hoja bwanaaa.
unaweza kukuta hii comment imetupwa kwenye dust bin na moderator.Leo Smart911 ashapita humu? ?????
ukipata mchanganyiko wa urojo kwa wiki moja tu utarudisha uwezo wako.Hao wote ulowataja si ajabu wamekulia urojo hivyo ubongo wao bado uko sharp. Mi sembe imeniponza...heri ningejua...[emoji16]
Jamaniiiiiihata nikiweka kazi bure mpendwaaa
watanzania ni wazito sana kuwabadilisha kifikra hususani jamii hii inayotokea huko kwenu.
jitu linakula sembe kutwa mara tatu kila siku kama ng'ombe na majani.
Kama ni hivi, kuna haja ya kuacha kula sembe aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Jamaniiiiii
Aiseee humfahamu leo Ngoja apite upande huu wa like,urojo leo hutapikiwa.T ndio nani tena huyoooo
tatu?
tuma?
tundu?
thea?
code ngumu labda nimsubirie capitalpool aje na compiler ya kuranisha.
Hahahaah huyu mkorea hafaiKama ni hivi, kuna haja ya kuacha kula sembe aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
namsubiria kwa hamu yote huyo T.Aiseee humfahamu leo Ngoja apite upande huu wa like,urojo leo hutapikiwa.
Sema suuuu nimuite eneo hili 😂😂😂namsubiria kwa hamu yote huyo T.
Mbona unanitetemesha?Sema suuuu nimuite eneo hili 😂😂😂