Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mzee wa pole ameingia.
hata tukiwa na furaha yeye anatoa pole.

pole Depal kwa kufunga ndoa.
pole Numbisa kwa kununua gari
pole Davet kwa kupiga picha na messi.
pole BAK kwa kuhamia ccm.
POLE SHIMBA YA BUYENZE KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWEMBAMBA KAMA KATUNI YA BETINA
Una nini lakini wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Ukishibaga ulojo unakuwa unasumbua
 
Baasi leo king anapita kimya kimya tu na likes. Kisa na mkasa jana Man u kashinda hajapumua vizuri R madrid kachapa mtu tano inaumaaaa maana wakatalunya walitaka wiki hii nzima watambe wao tu

Kama namuona vile anavyosononeka kama daemusin akiwa mgahawani kaagiza urojo kaletewa nguna ya udaga rangi imekoleaaaa hahahaa
 
huyo davet anapenda timu zile zenye wachezaji mahodari.
inaonekana moyo wake ni mwepesi kuliko karatasi.
tafadhali dada happy usije ukamtia presha huyu fala kutoka mbeya.
atakuja kufa na makalio yakiwa juu kama kifo cha mbuzi meeee
 
FB_IMG_1572524121221.jpeg
 
mzee wa pole ameingia.
hata tukiwa na furaha yeye anatoa pole.

pole Depal kwa kufunga ndoa.
pole Numbisa kwa kununua gari
pole Davet kwa kupiga picha na messi.
pole BAK kwa kuhamia ccm.
POLE SHIMBA YA BUYENZE KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWEMBAMBA KAMA KATUNI YA BETINA
Wewe Kichaa umesharudi sasa kelele zimeanza tena, naona na wewe ulipokonywa nywila na watoto wa Kizenji waliojinakshi kwa michoro mwili mzima....

Karibu tena
 
Swali juu ya swali. . Sijui wabongo tunakwama wapi
Huku si kwema aseeee Cc Smart911
Si kwema kwa vile Smart wako haonekani ama? Nimemuona MMU dakika chache zilizopita [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Wakati mwingine swali ni jibu zuri kwa swali hasa kama swali lililoulizwa halina swali kivile [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
HATIMAYE BEI YA SEMBE YAONGEZEKA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA WIKI HII
  1. BIRYANI = 3000
  2. PILAU = 2500
  3. sembe tupu na maji ya kunawa unatoka nayo kwenu = 250
  4. SEMBE TUPU KWA MAJI YA KISIMA = 1000 KUTOKA 300
  5. SEMBE TUPU KWA MAJI YA MTO = 800 KUTOKA 200
  6. SEMBE KWA MBOGA = 1500
  7. SEMBE KWA MAHARAGE = 2000
  8. SEMBE, MBOGA, SAMAKI, MAHARAGE = 5000 (WORLD RECORD KWA SEMBE KUWA JUU YA BIRYANI)

cha ajabu wanunuzi wa sembe ndio wamezidi kulalamika, ndipo nikagundua kumbe sembe ni chakula cha watu wasiojitambua.

sembe likishuka bei wanajiona wanadharauliwa.
sembe likipanda bei wanahisi wanafanyiwa fitina.

wewe mama shimbaaaaaaaaaaa hebu nireteee li ugali na maji ya kunawaaaa nataka nichape sembeeeee mpaka nimsahau mama thomasiiiiiiii
 
Back
Top Bottom