Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20191031-150559_Facebook.jpeg
 
hivi mjomba messi huwa anafanya mazoezi wapi ya kupiga free kick?

nimeona nibadili mada baada ya kushuhudia povu zito la sabuni ya foma gold kutoka kwako.

hivi una undugu na khadija kopa?
Ukimfatilia mazoezini utaona mazoezi anayofanya sana kwa sasa ni kupiga hiyo mipira mfu, umri unaenda sasa anapunguza majukumu uwanjani ndio maana siku hizi hakimbii kumbii sana .....

😂😂😂😂😂 Eti undugu na Khadija
 
Usîjipe uungwana
hunazo hizo twabia
vipembeni mwanong'ona
maovu kunizulia
l'akini habari sina
wala sitoathirika
kama mulofikiria
maneno kibao sana

Niimeshajenga ukuta vigumu kuubomoa, nashindwa kufurukuta kwa ari kanipokea
Nimeshakutoa maana wala, haitokurejea
ni heri kufarakana tafuta mutowezana anomuudu uzia mimi ndie muungwana kwa sifa nimetimia

 
Back
Top Bottom