Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
๐๐๐๐๐๐๐๐๐mumeyataka wenyewe.
leo kuingia tu JF nimekutana na notification 30 kutoka ndani ya thread hii.
nikakungudua kumbe ule utani wa sembe kuna watu unawapa furaha
๐๐๐๐๐๐๐๐๐mumeyataka wenyewe.
leo kuingia tu JF nimekutana na notification 30 kutoka ndani ya thread hii.
nikakungudua kumbe ule utani wa sembe kuna watu unawapa furaha
aaah wapi.๐๐๐ nasikia ulikula sembe likakuvimbia ukawa hoii hata simu kushika unaona uzito
naomba unikomeeeeeee mwana wa usukumani.
nimepumzika tokea jumapili usiku kumbe mulikuwa munanitafuta kwa tochi.
nimerudi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]HATIMAYE BEI YA SEMBE YAONGEZEKA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA WIKI HII
- BIRYANI = 3000
- PILAU = 2500
- sembe tupu na maji ya kunawa unatoka nayo kwenu = 250
- SEMBE TUPU KWA MAJI YA KISIMA = 1000 KUTOKA 300
- SEMBE TUPU KWA MAJI YA MTO = 800 KUTOKA 200
- SEMBE KWA MBOGA = 1500
- SEMBE KWA MAHARAGE = 2000
- SEMBE, MBOGA, SAMAKI, MAHARAGE = 5000 (WORLD RECORD KWA SEMBE KUWA JUU YA BIRYANI)
cha ajabu wanunuzi wa sembe ndio wamezidi kulalamika, ndipo nikagundua kumbe sembe ni chakula cha watu wasiojitambua.
sembe likishuka bei wanajiona wanadharauliwa.
sembe likipanda bei wanahisi wanafanyiwa fitina.
wewe mama shimbaaaaaaaaaaa hebu nireteee li ugali na maji ya kunawaaaa nataka nichape sembeeeee mpaka nimsahau mama thomasiiiiiiii
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ naona unaforce mwaliko, nani alikuambia mialiko uwa inafosiwa hivyo? Kama umesahaulika we kula zako sembe na maji ya mto wa mbu ulale.wanialike harusi yao haijalishi kama watapika sembe nitakula hivyo hivyo.
Depal kuja hapa muhuni wewe uliyeshindwa kunipa taarifa ya kuchumbiwa na mteja wa humu ndani.
mume anapenda likes
mke anapenda likes.
si mtakuja kupigana ngumi kwa kushindwa kuandaa chakula mapema?
hivi mjomba messi huwa anafanya mazoezi wapi ya kupiga free kick?Wewe Kichaa umesharudi sasa kelele zimeanza tena, naona na wewe ulipokonywa nywila na watoto wa Kizenji waliojinakshi kwa michoro mwili mzima....
Karibu tena
Heheheh uwezo huo huna ๐๐aaah wapi.
hata kama sembe itakuwa ndio tiba pekee ya nguvu za kiume basi pia sitokula.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐huyo davet anapenda timu zile zenye wachezaji mahodari.
inaonekana moyo wake ni mwepesi kuliko karatasi.
tafadhali dada happy usije ukamtia presha huyu fala kutoka mbeya.
atakuja kufa na makalio yakiwa juu kama kifo cha mbuzi meeee
basi harusi yako sitokuja.๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ naona unaforce mwaliko, nani alikuambia mialiko uwa inafosiwa hivyo? Kama umesahaulika we kula zako sembe na maji ya mto wa mbu ulale.
Muda wa likes ni wa likes na kuna muda wa chakula na familia.
Mambo yanakwenda kwa ratiba we mkorea kwani hujui?
I AAAAM SORRYYYYYYYYY๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Wewe boya umenichekesha sana leo ila kabla sijasahau 'fala mwenyewe'
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
bado namuwaza huyo T ujue.Usijali mpendwa ombi lako limekubaliwa.