Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Si pointi nyingi. Lakini, presha inawakabili mashabiki kutokana na mwenendo wa timu baada ya kuona kwenye mechi mbili zilizopita kwenye ligi, wameambulia pointi moja tu. Lakini, mbaya zaidi wamechapwa hadi na Sheffield United.