Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona unataka kuleta michezo ya kuibiana penseli afu unajidai kunisaidia kuitafuta.
Hiyo mahari si nyie wajomba ndio mlipanga na mliipitisha Ndio maana mkaipokea?

Kilabuni nakesha na huyo mzee anataka kwenda kunywa wanzukiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ so huwa namkampani. Na kuhusu mapishi muulize vizuri atakupa habari, we huoni anavyonawiri?
 
Aiseee 😁😁😁😁Wapendwa mkuje huku mmejificha wapi
wanajifanya watoto wadogo wanaongea weeeee ila akija kubwa lao wanajificha kwenye sketi za mabibi zao huku wakidanganywa na maneno matamu.

jifiche mjukuu wangu babu tisha hakuoni huku nilipokuweka, mara paap sketi inavuka kwa woga.
inakuwa aibuuuu.
 
Na wewe mdogo wangu kumbe umo kwa mipasho mashallah😁😁😁
 
unasema ana nawiri mbona namuona babu yetu anazidi ujinga kama pilipili kichaa?
 
Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…