Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Comment #6 dah [emoji16][emoji16][emoji16]Smart 911 na mahondaw mnaachana lini?
Umofya kwenu wote!, Niende moja kwa moja kwenye mada .kama kichwa kinavyo eleza natamani hii couple ivunjike maana wamezidi sana kujimwambafai utadhani wao peke yao ndio wana pigana miti nakudhani couple nyingine hazi chomekani miti kumbe .......(acha nisimalizie) Narudia tena mahondaw na...www.jamiiforums.com
Ishu hii ndiyo imemletea matatizo ama? Sheria ya makosa ya mtandao?
Aiseee katuni na upekuzi huko wanaenda kukuta pesa bandia na nyaraka za serikali.
Ndio Bro,Ishu hii ndiyo imemletea matatizo ama? Sheria ya makosa ya mtandao?
View attachment 1250099
Aiseee mpendwa uko vizuri mkeo ana faidiwaché waseme ,sina budi nawe
sikhofu lawama ,sababu ya wewe
ungekuwa nyoka, radhi uniuwe
seuze taussi ,wache walalame
ungekua nyoka, sumu yako dawa,
damu husafika, maradhi hupoa,
uzuri hakika, wewe umepewa
siwezi kwepuka, liwe litokuwa
wewe TTTTTTTTTT ALIYEMUONA DADA Hawachi unasubiriwa ujitokeze
Hiyo ndiyo namna Polisi yetu hufanya kazi siku hizi.Aiseee katuni na upekuzi huko wanaenda kukuta pesa bandia na nyalaka za serikali.
Jamaa hapo hachomoki kesi akisimamia yule mwenye chura umekwishaHiyo ndiyo namna Polisi yetu hufanya kazi siku hizi.
TANPOL haiaminiki tena.
Hapana huyo mwenye chura ni tishio mtaani tu.Jamaa hapo hachomoki kesi akisimamia yule mwenye chura umekwisha