Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
ha ha naona unaongea sana, ngoja niendelee kuvujisha picha zakonikiwa sina pesa nakulaga sembe kwa sababu huwezi jua pengine siku moja naweza kuishia gerezani.
kwangu mimi sembe ni chakula cha kufanyia mazoezi ya kujiandaa kwenda gerezani.
mara nyingi sembe ni chakula tunachowapa mbuzi wetu huku kwetu.
Umeona nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Umenifanya nikaangalie[emoji3][emoji3]
Sijaona kitu [emoji3][emoji3][emoji3]Umeona nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu toka atekwe amebadilika sana,jinsi alivyo kaa mmmmhπ"Wanilifunga kitambaa usoni, kisha walinifunga mikono kwa nyuma na walikuwa wanaongea lugha nisiyoijua"-MOView attachment 1250157
mzee wa pole ameingia.
hata tukiwa na furaha yeye anatoa pole.
pole Depal kwa kufunga ndoa.
pole Numbisa kwa kununua gari
pole Davet kwa kupiga picha na messi.
pole BAK kwa kuhamia ccm.
POLE SHIMBA YA BUYENZE KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWEMBAMBA KAMA KATUNI YA BETINA
πππππ[emoji23][emoji23]View attachment 1250162
Jioni iwe njema kwetu wote