capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Salaam mkuu. Habari za majukumu na familia?
Mungu ni mwema
Dada wa taifa...Kipele kimepata mkunaji..View attachment 1250164
Afadhali aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Sijaona kitu [emoji3][emoji3][emoji3]
Comment #6 dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Couple hii siku ikivunjika kuna watu watafanya sherehe. Kibongo bongo bila wivu na TRM mambo hayaendi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kifo cha hovyo kabisa dah! RIP