Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Unalea mtoto au unalea Mchumba?Salama bro,
Huku kwema pia.Tunalea bana π π π
Salama salimini.Haha shemejiiii au sio.
Wikiendi iko Poa, vipi we?
A na B yote sahihi.Hahah! Unalea mtoto au unalea Mchumba?
Wacha tuongeze na C bro unalelewa piaA na B yote sahihi.
hahahahahahWacha tuongeze na C bro unalelewa pia
Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapahahahahaha
Pamoja bro.Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapa
Unakumbuka ulitakaga kuniambia halafu ukawa husemiπ π π ??Majukumu yakipungua urudi kutia kambi mzee, fujo zako zinakosekana hapa
Mzee mwenzangu yupo ila mambo yake bado hayajatulia %Pamoja bro.
Mzee mwenzako kanyang'anywa nywila au ni gani aisee?
Marahaba bradha. Mzima?Nakusalimia binti mpole.
Kitambo sanaπ
Hahahaha marahaba zimefika. Za majuzi ,jana?Naungana na wewe kumsalimu huyu binti mpole
Na wote tuseme hongera bradhaA na B yote sahihi.
Wacha weee full kula mtori wa mzaziWacha tuongeze na C bro unalelewa pia
Mzima, sijui wewe na wajukuu hapo.Marahaba bradha. Mzima?