moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ata mimi sijasema 😂😂😂Hahahahaa mi sijasemaaa
ha ha ha mara paaap watekaji walimfanya chakula cha usikuHahaha naona umeona mbali asee.
Mwanaume kavalishwa khanga mbele ya wanaume wenzake.. Dah aibu aisee bora angenyamaza
Bradha ana raha hahahaAta mimi sijasema 😂😂😂
Jaman mbaba wa watuuuuu hahahaahha ha ha mara paaap watekaji walimfanya chakula cha usiku
hamnitakii mema kabisa hapa si ntadundwa sanaMie tena tutawezana vizuri tu
Doooh..mbona Bata Sana,nikilinganisha na tabu za huku bongo dohYaa, ni mwendo wa bata tu kiongoziHapa mfungwa akijandalia msosiView attachment 1250798
Asiponenepa ndani ya mwaka huu basi hanenepi tenaBradha ana raha hahaha
Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23]Chumba cha mfungwa gerezani HaldenView attachment 1250802
Hivi hawa Ni wafungwa au Wala Bata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wafungwa gerezani Halden wakifuatilia kwa makini ligi ya mabingwa Barani Ulaya, kupitia luninga,kwenye subule maalum iliyowekewa masofa ya kifahaliView attachment 1250804
ha ha kwamba bora kuwa mfungwa huko kuliko kua mtu huru bongo?Doooh..mbona Bata Sana,nikilinganisha na tabu za huku bongo doh
Hili gereza lingekuwepo bongo walahi lingejaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mfungwa akifuatilia mechi za ligi kuu mbalimbali Duniani kupitia luninga kwenye chumba tulivu gerezani HaldenView attachment 1250809
HakikaTena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ha ha kwamba bora kuwa mfungwa huko kuliko kua mtu huru bongo?
KweliWeekend ya epl imekaribia
Sijambo za kwako, Ijumaa iwe ya Baraka kwako.