Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Safi sanaWafungwa gerezani Halden wakifuatilia kwa makini ligi ya mabingwa Barani Ulaya, kupitia luninga,kwenye subule maalum iliyowekewa masofa ya kifahaliView attachment 1250804
Ndoa yangu na Nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndoa ilitiki kwani? Siku hizi sikuelewi
#sijuinimtag
Na nisivyopenda kutembea Haki ya Nani hili gereza lingenifaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Ni wafungwa hao bro, hapo unakosa uhuru pekee, ni mwendo wa kugonga pizza, spaghetti, noodles, chicken sekela, chicken tikka, burgers nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukishapiga msosi wa maana unaruhusiwa kuingia Gym, kwenye uwanja basketball au kuogelea, kwenda kuweka mwili sawa.
Huku kwetu ukiwa mfungwa mbali ya kupoteza uhuru wako pia upoteza utu wako.
Hivi na wewe unakunywaga Kwani?
Ndani gereza hilo pia kuna live band hutumbuza wafungwa nyakati za jioniHili gereza lingekuwepo bongo walahi lingejaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unafanya kosa walau la kwenda kupumzika huko mwaka MMoja.
πππ Mo wa watu jamaniha ha ha mara paaap watekaji walimfanya chakula cha usiku
πππππππππππππππππHaki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku bongo uraiani tu Sina chumba Kama hicho[emoji1787]
ππNa lielekeee kwa poo makondakta
Mdogo wangu alikufundisha Nani haya majina?[emoji1787]Na lielekeee kwa poo makondakta
Mimi jikoni tu walahi..Gereza hilo linapokea wafubgwa toka nchi mbalimbali Duniani,Ndani gereza hilo pia kuna live band hutumbuza wafungwa nyakati za jioniView attachment 1250846
Kweli Tena..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee kwa kweli sisi wengine tupo Duniani kusindikiza wenzetu.Maisha kwenye hilo gereza ni bata kuliko hata maisha ya raia aliye huru kwenye nchi nyingi za kiafrikaView attachment 1250833
Hehehe naona ndoa ya mitala ilitiki πππππππNdoa yangu na Nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hembu mtag nishasahau[emoji23][emoji23][emoji23]SI unajua dadako mafile mengi kichwani
Kuelekea mwisho wa mwaka make sure kunaanza kueleweka ππKweli Tena..
Chumba kipokipo tu Kama pagala[emoji23][emoji23]
Nimesiliba vizuri ..kitanda natandika vizuri., yaani Ni pasafi...Ila pamekaa kimaskini Sana lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Kuelekea mwisho wa mwaka make sure kunaanza kueleweka [emoji23][emoji23]
Nadhani falsafa yao ya magereza siyo kumwadhibisha mfungwa bali kumbadilisha tabia (rehabilitation). Bila shaka kuna programu nyingi kielimu na hata kitaaluma-tendaji ili kumpatia mfungwa huyo nyenzo za kumsaidia siku akitoka gerezani. Mifumo ya aina hii inahitaji uwekezaji sana na jamii iwe imeandaliwa vyema kubeba hizi gharama kubwa za kuwabadilisha hawa wafungwa.Ni wafungwa hao bro, hapo unakosa uhuru pekee, ni mwendo wa kugonga pizza, spaghetti, noodles, chicken sekela, chicken tikka, burgers nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukishapiga msosi wa maana unaruhusiwa kuingia Gym, kwenye uwanja basketball au kuogelea, kwenda kuweka mwili sawa.
Huku kwetu ukiwa mfungwa mbali ya kupoteza uhuru wako pia upoteza utu wako.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hehehe naona ndoa ya mitala ilitiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zzzzzzzz! Jiongeze Dada