Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini, meneja wa wakati huo wa huko Villa Park, Brian Little hakumwona Roberto Carlos kama atakuja kuwa mchezaji mmoja mkubwa sana kwenye soka na badala yake aliamua kumsajili Gareth Southgate kutoka Crystal Palace.
 
Kichekesho kingine cha kuhusu Carlos ni kwamba alikwenda kujiunga na Inter Milan mwaka 1996, kipindi hicho kocha akiwa Roy Hodgson, alijaribu kumtumia beki huyo wa kushoto kama mshambuliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…