Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kufungwa ni sehemu ya mchezi na kujimwambafai baada ya mechi ndiyo mpira wenyewe.
Hujawaona mashabiki wa Man U wanavyo jimwambafai mara wanaposhinda mechi zao.
Mashabiki wa Liverpool mnakera mpaka basi. Kujimwambafai to the max. Ndo maana mkifungwaga watu huwa wanafurahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
Dikembe Mutombo. Mbali na kucheza kwenye NBA anajulikana sana kwao Kongo kwa kujenga hospitali ya kisasa kusaidia watu masikini. Mama yake alikufa kwa sababu ya kukosa huduma za afya za msingi tu kwa vile walikuwa masikini sana. Hataki hilo litokee tena kwa watu wa maeneo ya kwao...
 
Mashabiki wa Liverpool mnakera mpaka basi. Kujimwambafai to the max. Ndo maana mkifungwaga watu huwa wanafurahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Club yetu Ni Bora kuliko zingine zote..wacha tujimwambafai tu[emoji1787][emoji1787]..
Mwaka huu nyota yetu ipo juu,mtuache jamani eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91].
Nitashangaa kuona Kuna watu bado wapo man utd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…