Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wale wapiga picha shuain zao wanapenda hilo poziNilipita wiki iliyopita hyo mitaa.. Kuna jamaa alikuwa anapigwa picha huku kanyoosha kidole(ishara ya kuonyeshea) sehem ile ya samak anayetoa maji mdomon[emoji16]
Binti mpole aone hapa
Maandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana Bro sana
[emoji23][emoji23][emoji23]unakuta mtu kakomaa kunyooshea kidoleWale wapiga picha shuain zao wanapenda hilo pozi
Hahahahaha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena ntaangalia live ilinimuone handsome anord Alexander
Ngoja December 18 kitakacho wapata mtasimulia
Kweli bro,, ile jersey pia ipo vizuriAm always in love with our home jersey. Manchester is RED!!
Kama hivi naweza kuweka kikombe changu kama hv ghafra anatokea mtu anaanza kuteseka tu[emoji23][emoji23][emoji23]
#hatushindaniiubingwasie
#tunatengenezatimubadoView attachment 1251999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga. Huo muda nitafatilia liver na barca zote naombea zipigweHahahahaha..
Basi mimi Sina haja ya kuangalia..
Utakuja kuniletea majibu tu hapa,japo nayajua tayari ila nasubiri muda tu.
Utadhani ulipigania uhuru kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...
Huku kolomije kwenu huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasukuma bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1252014
Kabisa mzee wakiangukia mikononi mwa Pep tutegemee makubwaNaona siku vijana wakikutana Na pep hata sita wanafungwa wanacheza vibaya Sana
Hayo maombi ya kupigwa liver yatakupotezea muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga. Huo muda nitafatilia liver na barca zote naombea zipigwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msinitishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee broMaandaeitini hawa inabidi tuwaambie ukweli. Kwa vile wao wa kishua basi wanafikiri na wengine maisha ni mteremko tu. Watu tumepitia mambo ya kutisha wakati wa ukoloni, jitihada za kupigania uhuru na mpaka leo tunapambana halafu eti kijitu kina miaka twenti thrii kinatoka huko kilikotoka kinakuja kukuambia eti we wa kishua. Shwaini kabisa yaani...
Huwa yanatick vizuri tuHayo maombi ya kupigwa liver yatakupotezea muda[emoji23][emoji23][emoji23]