Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanakodoa macho wakisubiri waone siku ambayo liverpool imefungwa ili wamwage povu lote, lakini wapiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka huu hatufungwi ng'oo[emoji1787][emoji1787].
Watakodoa Sana macho Yao[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii Ni Liverpool [emoji7][emoji3590]..nacheka ki mo salah[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Teh teh teh
SYB unaitwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kati ya siku zangu mbaya katika uzi huu ni leo. Nimesimangwa na kuchekwa mpaka basi. Ila yote yana mwisho. Siku mkifungwa hata Mwakaleli nitakwenda kumsaka huyu Saint anne ili niweze "kumwadhibu" ana kwa ana kabisa laivu mubashara [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Nitakuwepo pale uyole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahaha,
Pole sana kamanda, nadhani ulimchokoza masaa machache kabla ya mchezo bila kumjua vizuri muhusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…