myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]
Kaka Mkubwaa
Usinitishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie huyoo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wa maziwa😋Kupeana uji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coleeeMkatalunya asione hiyo
Hicho kichaka kinaficha na kuzuia mambo mengi sana bro 😀😀😀😀Kajificha kwenye kichaka cha kuumwa Kichwa 😀
Nani anayeumia?Alitamba Sana mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimwambia Mimi maombi ya kuombea njaa Liverpool Ni kupoteza muda,hakunisikia[emoji1787]
pengine babu shimba hakuwa na dhamira mbaya,
baadhi ya nyakati inatokezea mr or mrs x anakuombea mafanikio kwa kutumia maneno yaliopinda.
naomba umsamehe babu yetu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na amekuwa akipoteza kumbu kumbu, kitu pekee asichoweza kukisahau kwenye fikra zake ni big booty and curvy.
hilo timbwili naomba umgeuzie yule mshabiki lia lia wa man utd.
anaitwa NUMBISA.
ngoja nikanunue mabisi, chauro na bakuli la urojoooo halafu nirudi
Jizazi! Kumbe unabishia asili tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi timu yangu Ni Liverpool ila huwa siangalii mpira na Wala sio mpenzi wa mpira.
Nini kilikuvutia huko kwenye timu ya wazee binti mdogo kama wewe?