moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nyi ndo mliwatukana..[emoji23]
Aston villa leo katukanwa sana
Aston villa leo katukanwa sana
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1787][emoji1787]Nilitokea kuipenda tangu enzi nakua.
Nilikuwa naona nyumbani enzi hizo kina Gerald na Torres wanacheza..nikavutiwa Sana..tangu hapo huwa nafwatilia matokeo ya mpira siku Liverpool wakicheza
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haukusema kitu
[emoji1787][emoji1787]Simuhame timu, mbona timu zinazofanya vizuri zipo kwanini kukomaa kwenye maumivu?
Leo Nina wewe mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ngapi huko??(in mwanri voice)
Man u ngapi huko????
Man u,Aston Villa mnakwama wapi jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha ile clip wanapiga Bei jezi.
"Arsenal Ni Mia tano, Liverpool miatano, Manchester Mia tano,...
Zikaisha zote ikabaki man u..
"Manchester Mia moja, Manchester hamsini, Manchester Ni bureee"
Manchester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nikifungwa nitakuwa mpole tu..[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]utani wa mpira unauweza ila uwe mvumilivu siku timu yako ikifungwa [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu jamaa na marafikiiiiiiiii. Finally tumedaka andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] torres huyu huyu aliyestaaafu juzi kati hapa hadi gerald aiseeeee.
Hapo ni wakati st anne anakua
Sio enzi za akina lunyamila wala chambua huko yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh! Hapo sawa nimekupata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaa wapi nimeshapata topic mpya mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woyoooo anne kikaangon
Uliza nawajua wachezaji wangapi wa hiyo Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Aseeee[emoji41][emoji41]
Nimeshamsamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh
SYB unaitwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu leo weekend yao umekuwa mbaya sana[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi wangeshinda ningeshangaaa..
Yaani shimba na wewe ndiyo mlikuwa waombaji...eti mnaiombea Liverpool njaa[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heheeheheh nacheka kinyakyusa Mimi Leo[emoji1787]