Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1572731536350.jpeg
 
Wapi wanaume wa Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]..wamejua kunifurahisha[emoji2960].
Tunajimwambafai kwa Raha zetu[emoji3526][emoji847][emoji847].
Hii ni Liverpool.
SYB na numbisa wakiwaona Hawa wanatamani kuzimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acheni kuchezesha Liverpool na timu za ajabu jamani[emoji23]
 
Huwezi kuikimbia timu yako kwa sababu ya kufungwa, hivi mnayajua mapito tuliyopitia sisi?
Subira inahitajika
Hawajui hustling zetu Hawa.[emoji2][emoji2][emoji2].
Ila yote Tisa,kumi hakuna hustling Kali Kama za Manchester jamani doh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi inatosha muhurumie mzee wetu
Leo Nina wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Haki ya Nani ungekuwa karibu ningekutoa machozi..Maana hapa nacheka Hadi nadondoka chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
This is Liverpool [emoji91][emoji123][emoji91][emoji91]
 
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa mama,man u mna nini lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hakuna uvumilivu mkali Kama kushabikia Manchester United [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..inaweza kukupa ugonjwa wa moyo.
Nawasalimu Manchester [emoji137]
 
Back
Top Bottom