Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mzima Mimi jamani, nakumiss tu[emoji16][emoji16][emoji16] that's my bae
Uzima upo lakini?
Brendan Rodgers, kocha wa Leicester City,, huu ni mjadala kuwa Brendan alituuzia kimeo Harry Maguire kwa mkwanja mrefu, halaf yeye akaenda kumnunua beki mwingine Caglar Soyuncu kureplace nafas ya Maguire kwa mkwanja mdogo sana €19M..Huyo pichani, nani Bro?
Nakumiss zaidi bae, leo pale pale pa siku zote eehMzima Mimi jamani, nakumiss tu
Hahah kila la kheri binti mpole
WakishuaHahahaa asante
Aah nimeelewa Bro,Brendan Rodgers, kocha wa Leicester City,, huu ni mjadala kuwa Brendan alituuzia kimeo Harry Maguire kwa mkwanja mrefu, halaf yeye akaenda kumnunua beki mwingine Caglar Soyuncu kureplace nafas ya Maguire kwa mkwanja mdogo sana €19M..
Hizo hapo juu ni statistics zao kati ya Harry Maguire na Caglar Soyuncu.
Wakishuaaaa leo kichwa kinagonga balaaWakishua
Ndiooooo 💃Nakumiss zaidi bae, leo pale pale pa siku zote eeh
Jamani pole wakishua, kunywa maji eti au Jana hukulala usingizi wa kutosha?Wakishuaaaa leo kichwa kinagonga balaa