Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi avatar huwa unabadili kila baada ya muda gani? Asubuhi nimekuona na mdada sijui nani yule, mchana nikakuona na Ji Chang Wook sasa hivi upo na huyo alien sijui hata nini anafanya
  • teh teh teh nikiwa namzuka wa kubadili avatar.
  • nikiona picha ilionivutia haijalishi nimeweka avatar dakika mbili nyuma
hata hii muda wowote itaondolewa.
utamkuta member anakaa na avatar kwa muda mrefu zaidi kama makalio yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23] acha matusi we muhuni wa Seoul, niweke na mimi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…