Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Pole sana bro ila maisha lazima yaendelee...mabaya sana kwa sababu sina pesa na kamari sichezi.
barcelona kafungwa
man utd anaendelea kufungwa,
valverde hajafukuzwa.
solskjaer hajafukuzwa
Duh.....hata hii muda wowote itaondolewa.
- teh teh teh nikiwa namzuka wa kubadili avatar.
- nikiona picha ilionivutia haijalishi nimeweka avatar dakika mbili nyuma
utamkuta member anakaa na avatar kwa muda mrefu zaidi kama makalio yake
wale nao ni wajinga kuliko yangaPole sana bro ila maisha lazima yaendelee...
Kilichonifurahisha huko La liga ni kushindwa kwa RM kuongoza ligi, pia kuhusu Valverde nasikia kuna kampeni za chini chini kuondolewa ...
Umeyaanzisha mwenyewe alafu unajitoa? ππ na mimi simo[emoji23][emoji23][emoji23] sembe tena mimi simo
yuleeeeee au mwengine,
fanya malipo ya TAX
muulize depal ndiyo mahari yake.Bado bei yake haijulikani kwasababu simu yenyewe bado haijaachiwa sokoni
Sungura mmoja bei gani huko?
Mimi sijaongea masuala ya sembe lakini [emoji23][emoji23]Umeyaanzisha mwenyewe alafu unajitoa? [emoji3][emoji3] na mimi simo
Naona Zidane alirudi pale kujichafulia heshima aliyojiwekeawale nao ni wajinga kuliko yanga
wakorea wanakula waliπππ chizi huyo na hapo ameshashiba Sembe
dau kubwa brotheeer halafu alidhani timu inacheza vibaya kwa sababu ya kuondoka kwake.Naona Zidane alirudi pale kujichafulia heshima aliyojiwekea
barca wamenikera sana kumsajili legelege griezmann baadae wakamuondoa coutinho.Pole sana bro ila maisha lazima yaendelee...
Kilichonifurahisha huko La liga ni kushindwa kwa RM kuongoza ligi, pia kuhusu Valverde nasikia kuna kampeni za chini chini kuondolewa ...
Basi bae wake akitaka kumuoa aje nimuongezee Sungura kidogomuulize depal ndiyo mahari yake.
watu wanaomba mahari millioni 10 cha ajabu mwenzetu ameomba sungura 30
sithubutu kutofautiana na mwalimu wangu nikapelekea kukosa baraka zake.Mimi sijaongea masuala ya sembe lakini [emoji23][emoji23]
πππ Aya ndio umeshayaongea sasa tuombee tu asioneMimi sijaongea masuala ya sembe lakini [emoji23][emoji23]
teh teh tehBasi bae wake akitaka kumuoa aje nimuongezee Sungura kidogo
Hahah! Sawa Mkorea msamehe bure Khantwewakorea wanakula wali
tambi
maharage
sembe analishwa mbuzi meeee
hiyo avatar yako ina muda gani?Duh.....
yeye mwenyewe anawafahamu wakorea, alichofanya ni kutaka kukuingiza kwenye mtego wa mamba.Hahah! Sawa Mkorea msamehe bure Khantwe
Kaingia mtegoni ila kaokoa timu zilizokua zikimuhitaji wakidhani ni kocha bora kumbe ilikua ngekewa tudau kubwa brotheeer halafu alidhani timu inacheza vibaya kwa sababu ya kuondoka kwake.
aliporudi ngoma iko vile vile
hahahahaaaaaa