D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
teh teh zikiwemo manchester united na juventus.Kaingia mtegoni ila kaokoa timu zilizokua zikimuhitaji wakidhani ni kocha bora kumbe ilikua ngekewa tu
Siulimsikia juzi Pique anasema chaguo lilikua ni Neymar yani walikua tayari wakatwe posho zao ili jamaa atue Katalunya lakini PSG walikunja, Coutinho alikua low sana naona ndio wakaingia mkenge kwa Griezbarca wamenikera sana kumsajili legelege griezmann baadae wakamuondoa coutinho.
😂😂😂😂teh teh teh
nimesikia huko kwao arusha sungura ana thamani kuliko madini ya tanzanite
barcelona bado wana nguvu sana kwenye soko la usajili, unamkosa neymar basi japo dyabala anafaa.Siulimsikia juzi Pique anasema chaguo lilikua ni Neymar yani walikua tayari wakatwe posho zao ili jamaa atue Katalunya lakini PSG walikunja, Coutinho alikua low sana naona ndio wakaingia mkenge kwa Griez
Pesa aliyotumia kusajili hapo hana wa kumlaumu, mchawi mwenyewe tuteh teh zikiwemo manchester united na juventus.
tena ametumia fedha nyingi sana za usajili
swadakta.Pesa aliyotumia kusajili hapo hana wa kumlaumu, mchawi mwenyewe tu
Hahah! Game ngumu yule haziwezi kwelibarcelona bado wana nguvu sana kwenye soko la usajili, unamkosa neymar basi japo dyabala anafaa.
yule griezmann ameregea sana
bishoo sana.Hahah! Game ngumu yule haziwezi kweli
Classico naimani itakua kama mtego wa kuondoa mtu baina ya makocha wa pande zote mbiliswadakta.
perez amekaa kimya muda huu, anasubiri el classico
umeona eeeeeehClassico naimani itakua kama mtego wa kuondoa mtu baina ya makocha wa pande zote mbili
Na Barca wanahitaji mbadala wa M10 kwa sasa umri unakimbia sana bila kufanya hivyo watapata tabu siku za usoni, Neymar ni mtu sahihi sana pia na mbadala wa Suarez unahitajika sasabishoo sana.
mchezaji kama yule hawezi kubadilisha matokeo dhidi ya watemi kama liver na juve.
ina maana utegemezi wa messi utaendelea kuwepo.
angelikuwepo neymar au mfano sadio mane hali ingelikuwa tofauti kabisa
Kwani mimi tuko wawili?
Ndio hivyo bro.....umeona eeeeeeh
ukifungwa out
neymar ana miaka 28 halafu mwili ameuachia sana jambo linalomfanya apate majeruhi ovyo.Na Barca wanahitaji mbadala wa M10 kwa sasa umri unakimbia sana bila kufanya hivyo watapata tabu siku za usoni, Neymar ni mtu sahihi sana pia na mbadala wa Suarez unahitajika sasa
King unafuga hawa.?Basi bae wake akitaka kumuoa aje nimuongezee Sungura kidogo
View attachment 1253959
Labda Ronaldoneymar ana miaka 28 halafu mwili ameuachia sana jambo linalomfanya apate majeruhi ovyo.
mbadala wa messi na ronaldo hapa duniani hawapo