Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shughuli gani Sasa hapo dada?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona matokeo tunayo tayari jamani..[emoji23][emoji23]

Huyo kocha muache aelekeze Sana hivyo vijembe,Maana vitamlima mwenyewe[emoji23][emoji23]
hiyo mechi nitakuwa upande wa liverpool.
numbisa akihamia liverpool siku hiyo itabidi mimi na wewe tuhamie man city.
hatuna urafiki na adui
 
Kama umesahau basi kumbuka kwamba wikiendi ijayo kutakuwa na shughuli pevu katika dimba la Anfield kati ya Liverpool na ya Manchester City. Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameanza kuelekeza vijembe kwa wapinzani wake hao.
 
Juzi Mane aliipatia Liverpool bao la dakika za mwisho na kuipa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aston Villa ugenini lakini kabla ya hapo alipewa kadi ya njano na mwamuzi Jonathan Moss kwa kujiangusha katika eneo la hatari la Villa kwa ajili ya kuzawadiwa penalti.
 
Katika upande wa pili, Guardiola ambaye naye alipata ushindi wa mbinde dhidi ya Southampton kwa kushinda 2-1 alihojiwa kuhusu tabia hiyo ya Mane na kudai ni kweli staa huyo anapenda kujiangusha katika eneo la adui.
 
Wakati mwingine anajirusha, wakati mwingine ana kipaji cha kufunga mabao mazuri sana. Ana kipaji cha kipekee,” alisema Guardiola ambaye hapo hapo alimsifu Mane kwa kuwa na kipaji cha kufunga mabao hasa ya dakika za majeruhi.
 
Hata hivyo, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alipinga kauli hiyo na kumtetea Mane akidai kwamba aliguswa kabla ya kuanguka chini huku akisema, “Alipewa kadi ya njano na unapotazama tena unajua kwamba hakujiangusha, alikuwa ameguswa lakini huo ni uamuzi ambao unabidi tuukubali.”
 
Haina haja ya kujitetea as long as tushashinda[emoji23][emoji23][emoji23].
Mpira Ni ujanja... sio kuwa wajinga tu Kama man utd[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…