Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Unadhani najua Basi dadangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nifundishe niwe shabiki wa mpira damu.
Mimi mwenyewe mdandiaji tu[emoji23]
Unadhani najua Basi dadangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nifundishe niwe shabiki wa mpira damu.
Original halafu 35k?!
MkuuOriginal halafu 35k?!
Simba mna mambo ya ajabu
So nyie juzi tu mechi ya kwanza wamewapiga vibaya[emoji1787][emoji1787]
Acha utani.Simba haijawahi kufungwa mechi ya aina hiyo,
Si kama haifungwi, lakimi ikifungwa ndiyo habari, maana haina mazoea ya kufungwa kufungwa kama timu ya kijani
Brother [emoji7][emoji7].
Safi.. Mungu mwema.Shwari, mambo vp?
Nimekuwa mtoro, naingia mara chache 😃Uwe unapita na huku mara moja moja