Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji847][emoji847][emoji847]
74518086_492605731335991_4969820724557122678_n.jpeg
 
Ushindi wa Simba kwenye ligi hii siyo habari[emoji23][emoji23]
Kwenye ligi mbovu kama hii Simba ikipoteza mechi ndiyo habari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yule Kaka yangu wa Liverpool alitaka anisumbue eti Simba wameshinda Jana.
Sasa Simba wamecheza na mbeya city halafu wanashangilia kushinda!?!
Dah Simba bhna
 
Back
Top Bottom