moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mbona ulishangilia ushindi wa Liverpool dhidi ya Aston Villa?
Au unadhani timu hizo zina nguvu zinazofanama?
Au unadhani timu hizo zina nguvu zinazofanama?
Ni sawa na Mimi Leo na ubibi wangu huu wa miaka 30 nikapigane na mtoto wa miaka miwili..
Halafu naanza kushangilia kwamba nimempiga