Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahaah anko banaHata napataga shida basi,nikipiga hata nusu na robo roho yangu kwatu na usingizi juu... [emoji3][emoji3][emoji3]
Shida ni kwa shangazi yenu kujikoholesha ezi ifu kapaliwa na mate...
Najua ukiwa na tatizo lile huwezi kuweka wazi kama Anko anatupiga kamba.Anko yupo fiti ananogesha tu jukwaa kwa ucheshi na uchangamfu wake
Hahahaaaah kabisaaaNajua ukiwa na tatizo lile huwezi kuweka wazi kama Anko anatupiga kamba.
Ahsante mpendwa. Ukisikia popote dawa inapatikana nijulishe. Kwa mazoezi umri wangu umeenda sana nisije yavunja matendegu yangu.Aiseee pole fanya mazoezi huku ukitumia dawa.
MhhhhBeen married to this game that’s Who I made my Wife
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]