Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eee hicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Binti Mpole unachocheka ndicho hicho pia ninachocheka mimi ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante mpendwa. Ukisikia popote dawa inapatikana nijulishe. Kwa mazoezi umri wangu umeenda sana nisije yavunja matendegu yangu.
Mhhhh
Sio uwezo uliomo ndani ya mwanadamu ni mdogo kuliko ukubwa wa matatizo yanayotuzunguka kwa sasa?. Maana kwa siku hizi tajiri analalamika matatizo na ikirejea arusha mabilionea wa madini ndio wanaoongoza kujiua. Wanasiasa matatizo,watu wa kawaida matatizo. Yaani kila mmoja analalamika matatizoUwezo uliomo ndani ya mwanadamu timamu ni mkubwa kuliko matatizo. Historia inaonyesha kuwa Mungu hakuumba matatizo kabla ya mwanadamu; tafsiri rahisi ni kuwa, changamoto zitokanazo na maisha ya watu ni rahisi kuzikabili na zinapokabiliwa hukuza ufahamu na kuleta maendeleo.
Grinding all my lifeYou Know the Line?
We binti umetoa wapi weredi huu?. Umeongea maneno mpaka yanagusa mifupaWengi wetu tunapokuwa na shida tunafikiria zaidi matatizo kuliko utatuzi wake. Ukimuuliza mtu unafikiria nini kujikomboa na hali hii duni, atakuambia “sina cha kufikiri nimekwama”, jambo ambalo ni kosa kubwa. Suluhu ya changamoto za maisha si kubweka mithili ya yule mbwa; ni kuwaza na kutenda namna ya kujinasua.
Eee hicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Grinding all my life
Nipsey?!
That's why,Want slice got roll dice
Preeeeach esta preeeach[emoji7]Kadiri unavyozitafsiri shida na kuzipatia ufumbuzi ndivyo unavyojiletea maendeleo na kujijengea uwezo wa kushinda shida moja hadi nyingine. Ukiacha shida moja bila kuitafutia ufumbuzi si ajabu ikakutesa hiyo mpaka itakuingiza kaburini.