Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,688
- 8,274
We binti nakupatia namba ya binti yangu uwe unampatia kila siku neno moja moja kila unapopata nafasi,kama haya maneno. Ukiyapata haya kila mara atakuwa mtu aliejengwa kwenye msingi wa mawe,kuliko masomo ya darasani peke yake. Haya maneno yatamfanya awe imaraWAKATI mwingine matatizo huwafanya watu wahisi mwisho wa maisha umewadia! Hushindwa kabisa kukabiliana na changamoto zinazotokana na matatizo hayo na badala yake hubaki wakilaumu wasijue cha kufanya.
Kikubwa uzima mpendwa,Allah akufanyie wepesi kwenye kila hitaj lako akuepushe na husuda za binadamuSafi mpendwa.
Majukumu tunapambana nayo kiubishi.
Mm ni msichana na sina id nyingine na sijawahi kua nayoSorry Jamaa I’d yako nyingine ni ipi ???
Nauliza Tu swali Mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndio maana makalio ya wanaume yanakuwa makavuuuuu kama maandazi ya kubanika kwa moto
View attachment 1254760
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha ankooHii post iheshimiwe...
Kuzunguka kwangu kote humu Jf kwa mwaka huu hiki ndicho cha maana nimekipata leo.
Ahsante mwaka huu unaisha lakini nimefanikiwa kupata namba ya kitambulisho cha NIDA na dawa ya kutibu tatizo la NGUVU ZA KIUME.
Baibai 2019 kwa faida [emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mm ni msichana na sina id nyingine na sijawahi kua nayo
Sijajua kiswahili nacho chenga ila naona hata kama mtu kawa mwanamke bado ni binti kwao sijui kama nipo sahihi au nakoseaAisee that’s Very Good
Hivi msichana ni Binti pia
Cuz i failed n see you about to cryAnd I need You to myself