Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye alikuwa bikra hadi umri huo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye alikuwa bikra hadi umri huo?
Thanks bae, ubarikiwe 🙏💕Great,, uwe na siku njema hapo!
Wengine mtatukimbiza kwenye huu uzi aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana ukalala halafu ukaota unapitwa ikabidi urudi kuchungulia 😅😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, hili ni moja ya swali anatakiwa alijibu, sijui hata ana maana gani kumfanyia hivi mwanae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye alikuwa bikra hadi umri huo?
Amin bae [emoji8][emoji8]Thanks bae, ubarikiwe [emoji120][emoji177]
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, hili ni moja ya swali anatakiwa alijibu, sijui hata ana maana gani kumfanyia hivi mwanae
Hata kama kumlinda mtoto,hii imepitiliza,Ana shida aisee, tena bora kama anampeleka kwa dakitari wa kike
Ndio hapo sasaHata kama kumlinda mtoto,hii imepitiliza,
Najarbu kuwaza tu, mfano huyo daktar akifanya mchongo na huyo binti akamwambia bikra ipo ili hali ishatolewa atajuaje,,, uzazwa mwingine tabu kweli [emoji2][emoji2][emoji2]
T. I ana miaka 39 lakini ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 18.
Kuna watu watateseka wakiona rekodi hizi [emoji2][emoji2][emoji2]Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema anafahamu mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe,20 ''ana ndoto'' ya kukichezea kikosi cha mabingwa wa La Liga. (Goal)
Hiki kitu ni wewe tu jinsi utakavyojipanga bro, ila mwisho wa siku usije kukipa mateso kiumbe kisichokuwa na hatia... I mean uwe umejipanga tayaliT. I ana miaka 39 lakini ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 18.
hongera kwake.
i wish ningelikuwa zaidi ya T.I.
hayo mambo ya bikira sijui hymen hayanihusu.
kama vipi amuwekee super glue mpaka atakapofika siku ya harusi ndio aibandue
ukijaaliwa uwezo then ukajaaliwa kupata mtoto mapema sana kuna raha yake, nachukizwa sana na wale waliojaaliwa uwezo wa kifedha na kiafya then wakatafuta mtoto wakiwa wameshavuka miaka 35.Hiki kitu ni wewe tu jinsi utakavyojipanga bro, ila mwisho wa siku usije kukipa mateso kiumbe kisichokuwa na hatia... I mean uwe umejipanga tayali
Mfano Lil Wayne ana miaka 37,mwanae wa kike ana miaka 20,, raha iliyoje hii..
Fresh sana mzee mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje bro
Safi sana bro, vipi mambo yako?Bro niaje
Hasa cole.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila bale anakula pesa watu bure alitakiwa awe na mengi zaidi.Kuna watu watateseka wakiona rekodi hizi [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1256416