Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwani furaha yako Juve kushinda au yule jamaa kufunga?Hadi muda huu sijapewa tokeo la juve
Kwani furaha yako Juve kushinda au yule jamaa kufunga?Hadi muda huu sijapewa tokeo la juve
The goat kutawala headlines za ushindi wa juve bonge la furahaKwani furaha yako Juve kushinda au yule jamaa kufunga?
Kweli aise, hii haijakaa vizuri kabsa,mimi watu wa namna hiyo huwa siwatofautishi na watu wabinafsi.ukijaaliwa uwezo then ukajaaliwa kupata mtoto mapema sana kuna raha yake, nachukizwa sana na wale waliojaaliwa uwezo wa kifedha na kiafya then wakatafuta mtoto wakiwa wameshavuka miaka 35.
mtoto wako anakwita baba, ukitoka nje unaitwa babu
Hahah sema magoli yake yanaonekana kuibeba timu zaidHasa cole.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila bale anakula pesa watu bure alitakiwa awe na mengi zaidi.
mara nyingi wenye tabia hiii ni celebrities na mara nyingi huhofia angukoKweli aise, hii haijakaa vizuri kabsa,mimi watu wa namna hiyo huwa siwatofautishi na watu wabinafsi.
Hapo mnamsema vibaya jay ZKweli aise, hii haijakaa vizuri kabsa,mimi watu wa namna hiyo huwa siwatofautishi na watu wabinafsi.
Aaah wewe wa juu ndio wameibeba zaidi timu. Bale bana kaachiwa nafasi ila hazitumii vizuri mpaka dogo mbrazili atamfikiaHahah sema magoli yake yanaonekana kuibeba timu zaid
Akikujibu nitagKing eti Messi ana magoli mangapi UCL?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikujibu nitag
Kumbe hukuangalia game binti mpoleThe goat kutawala headlines za ushindi wa juve bonge la furaha
Aah umekwepa point. Au wataka kusema kuhusu ile sub? EeKumbe hukuangalia game binti mpole
Haha hata hapa kwetu wapo wengi sana, achilia mbali watu maarufu hata, watu wa kawaida tunaoishi nayo mtaan kila siku nao wapo hvyo..Hapo mnamsema vibaya jay Z
Vipi wale wenye katoto kamoja tu wakati wa utajiri wa kutosha na hawana matatizo yoyote ya uzazi
Ujue tayali ukishakuwa na mtoto mambo mengi sana yanakuja mbele yako, mfano celebrties hasa wa kike wengi wao wanahofia kupoteza baadh ya show, kuwa na muonekano mbovu baada ya kujifungia, muda wa kuhang out na marafikimara nyingi wenye tabia hiii ni celebrities na mara nyingi huhofia anguko
Moja, vipi mwenzake nae anayo mangapi?King eti Messi ana magoli mangapi UCL?
Yapo poa bro, vipi kwa upande wako mzee?Safi sana bro, vipi mambo yako?
Aah kumbe ningendako jibu hili hapa. Sasa anauliza mwenzake anayo mangapi. Mwenzie ni nani?Moja, vipi mwenzake nae anayo mangapi?