Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti timu ya mpira. Na akikuta mtu ana watoto wa kutosha anaanza kulalamika yeye utadhan huwa anasaidia kuleaHaha hata hapa kwetu wapo wengi sana, achilia mbali watu maarufu hata, watu wa kawaida tunaoishi nayo mtaan kila siku nao wapo hvyo..
Halaf unakuta kwao walizaliwa timu ya mpira, ila yy analeta uzungu mwingi na kujitia ujuaji